Juice ya Tangawizi, apple na karoti.
Moja ya juisi nzuri zaidi utakazotengeneza na kukufanya uinjoi ni mchanganyiko wa karoti, tangawizi na apple. Ni nzuri sana itakuongezea vitamini na nguvu. Kwa kipindi hiki cha joto kali kwenye baadhi ya maeneo ni nzuri sana.
Usikose kusoma mafunzo mengine yanayotolewa katika blog hii kujua mambo mbalimbali ya jikoni na namna ya kuandaa vyakula.

Comments